Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Kama alirudi Mayele anashindwaje Bocco?Bocco karudi na moto leo
Kama uliangalia game 2 zilizopita utakubaliana na hoja yanguAaaah jamani Leo tunamkataa tuliyekuombea hadi uraia? Siyo fea
Guvu moya 😀
Kwamba ndiyo siku alisave namba yake?Picha ya zamani hiyo
Acha niende live band huu si mpira tena, kwani hao Ruvu wamesimama?Helloow Bantu Lady are you thereeee
Nikwasababu Boko ni Mtanganyika ndiyo maana hatumueshimu.......ila ni mmoja wa Top striker waliowahikucheza ligi ya TanganyikaKama alirudi Mayele anashindwaje Bocco?
Hapana hapa nawasiliana na TAKUKURU wachunguzw bila shaka ni fixed hiila nne huko, bado hujazirai?
Upo sahihi kabisaNikwasababu Boko ni Mtanganyika ndiyo maana hatumueshimu.......ila ni mmoja wa Top striker waliowahikucheza ligi ya Tanganyika
Niliangalia nikweli ameflop sana,ila kumbuka ndiyo top scorer wa last season,ups and downs kwenye soka ni kawaida,tuache kuwatusi sana hawa watuKama uliangalia game 2 zilizopita utakubaliana na hoja yangu
Nipo hapaHapana hapa nawasiliana na TAKUKURU wachunguzw bila shaka ni fixed hii
Haina haja ya dawa ya usingizi wakati namba ya wasambazaji wa Muharami unayo mkuuIlikua siku ya kupiga pesa leo unaweka kibunda milion 1 unakula dawa ya usingizi unalala.
Haiwezekani kesi ya afande umpelekee mura.Nipo hapa
Nenda kipenzi usije shindwa kuenjoy life buree wacha Ngada fc tungadueAcha niende live band huu si mpira tena, kwani hao Ruvu wamesimama?