FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

Lacapter Mnyana wa majini karudi hakuna Cha yule MLA ngedere kinyesi 🦁 Nguvu Moja.
 
Nani anakuwa na magoli mengi ya kufunga kati ya Yanga na Simba?
 
Ilikua siku ya kupiga pesa leo unaweka kibunda milion 1 unakula dawa ya usingizi unalala.
 
Kibu na Kennedy wameingia badala ya Bocco na Okrah
 
Namna gani hapa Rashid Juma anashindwa kufunga bao la machozi
 
Back
Top Bottom