Huyu Mgunda naye anazingua, ina maana Kibu leo hadi benchi alikuwepo?Kibu na Kennedy wameingia badala ya Bocco na Okrah
Doh hatupumiiHaina haja ya dawa ya usingizi wakati namba ya wasambazaji wa Muharami unayo mkuu
Ametusahau hapa napatikana kwa voda 0700 666 666 namba ya kisheitwainiiHaina haja ya dawa ya usingizi wakati namba ya wasambazaji wa Muharami unayo mkuu
3+ ilikuwa 2Ilikua siku ya kupiga pesa leo unaweka kibunda milion 1 unakula dawa ya usingizi unalala.
Katafuniwa kashindwa kumezaHaya naskia Kibu kakosa goli huko
Wala sijamtusi mkuu, last season alikuwa vizuri sana. Pengine amelewa sifa.Niliangalia nikweli ameflop sana,ila kumbuka ndiyo top scorer wa last season,ups and downs kwenye soka ni kawaida,tuache kuwatusi sana hawa watu
Huyu ni wetu hatumuuziiiKibu tumvumilie jamani
Guvu moya π
Mgunda anafanya sub za kiushkaji, sikuona sababu ya Kibu kuingiaKibu tumvumilie jamani
Guvu moya π
Ni galasa yule pimbiKatafuniwa kashindwa kumeza
Umeona sasa mkuu.Kibu tumvumilie jamani
Guvu moya π
Umri wake na tayari kacheza national team yaoClotous CHAMA apewe uraia...
Sasa alikuwaje top scorer wa timu last season?Ni galasa yule pimbi
Sijui anafeli wapi Rasta?Katafuniwa kashindwa kumeza