Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Huyu Mgunda naye anazingua, ina maana Kibu leo hadi benchi alikuwepo?Kibu na Kennedy wameingia badala ya Bocco na Okrah
Huyu wangempa space kidogo apate recovery sababu hata mentality yake sidhani kama iko poa, Bocco angebaki angefunga zaidi ya hapo.
Hizi mechi ndio za kufunga magoli mengi kwasababu ipo nafasi ya kuongoza ligi kwa wingi wa magoli