Mambo ya mjini mengiSijui anafeli wapi Rasta?
Sijui ana madeni?
Guvu moya 😀Jamani huyu Chama ni nomaaaa anaujua jamani nasema tenaaa anaujuaa
Moya moya kabisaGuvu moya 😀
Anachezea dawaSasa alikuwaje top scorer wa timu last season?
Anachezea dawa
Dawa ime expire
Sio wa level ya msimbazi huyu dogo
Kakosa commission Yake Ya BahashaHuyu kipa wa Ruvu wampe na ya over time aisee
Kwakweli ameucheza mwingi sana leo. Bila hivyo wangeyaoga sana.Huyu kipa wa Ruvu wampe na ya over time aisee
Usijali mkuu juzi tumeleta mtaalam wa mazoezi,soon atakuwa fitAkpan bado hana utimamu wa mwili
Inapendeza sana unavyofuatilia habari za Simba SC, gud.Usijali mkuu juzi tumeleta mtaalam wa mazoezi,soon atakuwa fit
Guvu moya [emoji3]
Man of the match..Huyu kipa wa Ruvu wampe na ya over time aisee