FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

Mfano angekuwa mechi ya Yanga na Mkwasa akawasalimie mashabiki wa Yanga vile.... duuuh
 
Zile kelele za kununua mechi zita isha sasa[emoji23][emoji23]
Ushindi kama huu sio mara ya kwanza kuupata dhidi ya Ruvu

1668880981952.png

Hata wewe sidhani kama unakubalaiana kuwa Singida ina uwezo sawa na Ruvu kwenye ubora wa kikosi
 
Achana na hayo mawine kipenzi, umeona boli lilivyotembea yaani mtu amefungwa na kaupiga mwingi pia.. umeona saves za Manula
Ni balaaa mtu wangu.. yani ball limetembeaa vilivyo. Saves za hatari Leo Phiri alishindwa kulenga shoot zenye urefu zaidi ya kimo cha kipa alikua anampa mkononi ila angefunga na yy ka hatrick kake hahaha
 
Leo hujaona bahasha?
Mimi sijaangalia mpira kwanza hilo ulijue, kingine Ruvu ya saizi haijafanya usajili mzuri wa kuifanya itofautiane na ile ya msimu uliopita ambayo tulishinda goi 4-1
1668881093202.png


Lakini kiushindani na kwa ubora wa kikosi kati Ruvu na Singida wote tunakubali kuwa Singida wapo vizuri

Haimaanishi kwamba wapo vizuri hivyo hawakustahili kufungwa, hapana. Tunamaanisha perfomance walioicheza haikuwa ile ambayo inaendana na Quality ya kikosi chao.
 
Back
Top Bottom