Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Na Pep mnene out huwezi zisikia leoZile kelele za kununua mechi zita isha sasa[emoji23][emoji23]
Nina ka white wine hapa nimevimbwa kande ndo najaribu kunyutrolaiziNunua juice upoze koo
Ulijuaje Chifu, ngoja mechi zijazo Bingwa wa makombe yake matatu aje ashinde kwa kishindo uone Makolokolo watavyofungua nyuzi kukandia kuwa Yanga katembeza bahasha [emoji848][emoji16]Zile kelele za kununua mechi zita isha sasa[emoji23][emoji23]
Una Ngarerimo ndoro 😀😀Nina ka white wine hapa nimevimbwa kande ndo najaribu kunyutrolaizi
Leo hujaona bahasha?Goli la 4 la Bocco
View attachment 2421313
Fea plei tu.......muacheni kulia lia sanaNa sisi ngada tunapokea kwa mikono mi2
HahahaMfano angekuwa mechi ya Yanga na Mkwasa akawasalimie mashabiki wa Yanga vile.... duuuh
Ushindi kama huu sio mara ya kwanza kuupata dhidi ya RuvuZile kelele za kununua mechi zita isha sasa[emoji23][emoji23]
Wakishinda wao ni HALALI, kwa wengine ndio nongwa.Zile kelele za kununua mechi zita isha sasa[emoji23][emoji23]
Achana na hayo mawine kipenzi, umeona boli lilivyotembea yaani mtu amefungwa na kaupiga mwingi pia.. umeona saves za ManulaNina ka white wine hapa nimevimbwa kande ndo najaribu kunyutrolaizi
Ni balaaa mtu wangu.. yani ball limetembeaa vilivyo. Saves za hatari Leo Phiri alishindwa kulenga shoot zenye urefu zaidi ya kimo cha kipa alikua anampa mkononi ila angefunga na yy ka hatrick kake hahahaAchana na hayo mawine kipenzi, umeona boli lilivyotembea yaani mtu amefungwa na kaupiga mwingi pia.. umeona saves za Manula
Tatizo wengine mara mtu kachezewa rafu kati kati ya uwanja refa anaitisha penati, mara wapinzani wanazuguka tu uwanjani kama mashati ya shule. Utofauti ni kwamba leo Ruvu kala nne lakini kaupiga mwingi pia.Wakishinda wao ni HALALI, kwa wengine ndio nongwa.
Mimi sijaangalia mpira kwanza hilo ulijue, kingine Ruvu ya saizi haijafanya usajili mzuri wa kuifanya itofautiane na ile ya msimu uliopita ambayo tulishinda goi 4-1Leo hujaona bahasha?