MImi niko salama salimini Valentina, hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu..!! Mtu kujichumia mchicha ulioota uani kwake wala hakatazwi na yeyote