FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

Guardiola mnene amechungulia na kuwaonya Wanasimba wasiende na matokeo mfukoni.
 
Muhimu mpira uchezwe uwanjani. Binafsi nisingependa kusikia malalamiko na visingizio vya kipuuzi! Sijui tulikamiwa! Sijui kocha wao ni Yanga lia lia, hivyo amewaambia wachezaji wake watukamie!!
 
Mchezo utakua mgumu sana kwa pande zote mbili ,Simba nguvu moja 💪.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…