MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Sakho ana gori ngapi kwenye ligi?Sakho majeruhi?
Kama vipi mgunda ajaze viungo wengi. Lirudi soka letu. Kufunga atafunga yeyote. Asilazimishe mastriker butu. Wanaziba nafasi muhimu.
Kwa maslahi ya timu.
Mtihani. Mungu awaponye upesi.Jimmy, Israel, Banda, Sakho, Okwa na Kyombo hawana utimamu wa mwili kwa maana ni wachezaji majeruhi kwa Kikosi cha Simba SC..!
Kama magoli ndio yale kwa timu zile atafunga hata 100
Usijaribu tena michezo ya kubahatisha. Fanya kile ulicho na uhakika.Sakho ana gori ngapi kwenye ligi?
Mwachen the Living Legend aanze[emoji16]
Mpira unaweza kumkataa au kumkubali dakika 90 zitaamua.
Mkuu hii ngumi nzito sana, hata sitaki kuingilia nimekaa paleeeee.. Nguvu Moja [emoji881]
Suala la CAF liachie simba.Haya kuna wale ambao waliimiss Simba ya kampa kampa tena,mwenye Simba yake leo yupo hii mechi mnashinda tena nyingi kuanzia 2 na kuendelea.
Ila dirisha dogo mtafute mbadala wa Chama,huko CAF mtaumbuka.
Sawa ila bila Chama mtani huna timu, kama unaujua mpira na kama umzitizama mechi basi utanielewa ila kama unaendelea na ubishi wako endelea.Suala la CAF liachie simba.
Club africain asikutie jeuri kiasi hicho.
Wachezaji wanacheza kama walilazimishwa aisee, na leo utaona tofauti nyingine jinsi hizi timu zinavyocheza zinapokutana na Simba ila wakikutana na Yanga sasa oohh asalaleee
tena kwa kuzingatia kwamba Chama si mchezaji wa SimbaSawa ila bila Chama mtani huna timu,
Mwambie Kipara Makamba arudishe umeme.! Leo ni sehemu kubwa Dar hakuna Umeme..!Tanesco wameshafanya yao tokea Asubuhi ,sasa hivi ni mwendo wa radio na "la la la goaaaaal........... anakosa pale........eenhh nini ile goal kick........".