Sandiego
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 1,288
- 2,075
NGADA FC NAONA LEO MMEJIPNGA[emoji1787][emoji7]Bocco Goooooooooooooaaal gooal
John Bocco anatupia kambani bao la kwanza kwa Kisigino
Ruvu Shooting 0-1 Simba SC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NGADA FC NAONA LEO MMEJIPNGA[emoji1787][emoji7]Bocco Goooooooooooooaaal gooal
John Bocco anatupia kambani bao la kwanza kwa Kisigino
Ruvu Shooting 0-1 Simba SC
Mayele aliwapa nini kitamu mbona mnamtaja taja sana?Tulia Mayele Awashone.
Hili goli tumefunga lakini offside auBocco Goooooooooooooaaal gooal
John Bocco anatupia kambani bao la kwanza kwa Kisigino
Ruvu Shooting 0-1 Simba SC
VAR nakuonaLeo naona hatujarudi sana sembe tunacheza vzr ingawa goli letu la offside
auHili goli tumefunga lakini offside au
Dhahiri.Hili Goli ni Clear Offside.
Duuu yaani Kona Ina offsideHili goli tumefunga lakini offside au
Huyu Masau Bwire si ndiye msemaji wa simba akiwa Ruvu?Huyo huyo Mayele aliwatandika viwili, au mmesahau[emoji1787][emoji1787]
Naskia watu wanapigiwa nusu uwanjaHakuna namna ila BOLI Linatembea mno dakika hizi za mwanzo..!
Ruvu Shooting 0-1 Simba SC
Daaah, hawa Tanesco basi tu, wanaboa sanaTanesco wamefakisha imenibidi niusikilize kwa Radio tu
Kwa Simba utasikia ni makosa ya refa, ila kiwa Yanga inakua bahasha!Hili goli tumefunga lakini offside au
Bocco kawa wa moto Leo18' Bocco Goooooooooooooaaal gooal