FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

Maana baada ya dakika Bocco, kipofu kaona mwezi...
Asiniharibie tu utabiri wangu, wa hakuna hat trick 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Hatrick amwachie Moseeee πŸ˜† πŸ˜†
 
Ruvu shooting hawana utofauti na manchester united ya ralf rangnick.
 
Almanusura wapate bao Simba SC kupitia kwa Bocco..Ruvu wanapata pumzi ya moto.
 
Mtu kama John Bocco kashajiishia Hana uwezo wa kuifunga timu yyte ya ligi kuu isipokuwa zile timu zilizoongwa tu Kama leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…