Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Singida ni timu ndogo tena sana uo ukubwa mnaowapa wameupata wap? ni vile tu mlitoa sale nao but bado hata uzoefu wa ligi hawana ni kikundi tu kimenunuliwa baada ya timu kupanda darajaSawa mkuu, lakini kweli ile mechi ya juzi na Singida uliwatazama vizuri wachezaji wa SBS na kisha pitia mechi zao zilizopita...
Hata huku haupo,nawaza ikifika saa 12 haujaja niwahi taifa tuHatuna hizo kazi chafu sisi ni mwanzo mwisho labda simu izime huku hatuna umeme
Ukatutupie nazi au sio mtani 😆 😆Hata huku haupo,nawaza ikifika saa 12 haujaja niwahi taifa tu
Tatizo wana simba wabishi mno kukubariHuu si ushabiki ni ufala, mtu mwenye akili timamu na anayejua mpira atakuwa anajua aina ya mpira anaocheza Yanga, Aina ya wachezaji wake, mfumo wake na hata kujituma na umakini wa wachezaji wenyewe, Kocha wao na uzoefu walionao hasa ukizingatia wamekaa pamoja kwa muda mrefu.
Yanga huwezi linganisha na timu yoyote ile hapa Tanzania, hata pale wanapocheza viwanja vigumu huwa wanajilinda kwa ufasaha mf. Kagera Sugar.
Ni ujinga kuamini kuwa timu zinapocheza na Yanga hazijitumi, Last season Simba alifungwa na Yanga kwenye Ngao ya Jamii na alipigiwa pasi nyingi mno, na sio kwamba Simba hawajui mpira hapana, ila Yanga wana uwezo mkubwa kuliko Simba.
Huu ushabiki wa Kijinga haufai.
Ally kombo na shabani msala watawauaI hope saa moja ummeme utakua umekamubaki.
Simba nguvu moja
Ngada Fc for everibadeee
Hawa ni wa kuhurumia tuWewe Si Ndiye Uliyesemaga Mayele Hawezi Kufikisha Hata Goli 9 Msimu Huu, Sasa Ngojaa…
Kama hayaKama magoli ndio yale kwa timu zile atafunga hata 100
Ili kuthibitisha haya maneno inabidi muifunge Yanga wengine waige mfanoSawa mkuu, lakini kweli ile mechi ya juzi na Singida uliwatazama vizuri wachezaji wa SBS na kisha pitia mechi zao zilizopita...
Jamaa zetu wamekwisha funga ndoa na malalamiko , huwezi kuwatenganishaMuhimu mpira uchezwe uwanjani. Binafsi nisingependa kusikia malalamiko na visingizio vya kipuuzi! Sijui tulikamiwa! Sijui kocha wao ni Yanga lia lia, hivyo amewaambia wachezaji wake watukamie!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I hope saa moja ummeme utakua umekamubaki.
Simba nguvu moja
Ngada Fc for everibadeee
Nakumbuka kipindi kile Matola yupo Lipuli asee Yanga tulikoma, hata kipindi Mgunda bado yupo Coastal nakumbuka kuna kipindi alitufunga na mechi nyingi kati Yanga na Coastal zilikua tough sanaTimu zote za NBC League zenye Makocha wa Zamani wa Yanga au wachezaji wa zamani wa Yanga ni Hatarishi sana kwa Yanga na Simba hatutakiwi kuchukulia poa. Wanachezesha wachezaji wao jihad kulinda maslahi ya timu yao ya zamani.
Angalia;
NAMUNGO yupo NSJIGWA
SINGIDA BS yupo Pluijm
GEITA yupo Minziro
RUVU yupo Mkwasa
Kagera yuko MECK
AZAM yupo KALI ONGARA
IHEFU yupo MWAMBUSI
Marare Hamsini yupo
Hizi timu zooooote Simba atapoteza au kupata sare au kupata matokeo finyu kwa utamaduni wa soka la Bongo.
Simba hakikisha;
Matola
Amri Said
Ulimboka
Julio &
Dennis Kitambi wote wapate timu LIGI KUU tutaanzia hapo kumkamata Yanga vinginevyo kumsimamisha ni ngumu maaana ligi imekaa ki Chupli Chupli
Hahaha hakuna kitu. Leo mtalaumiana kama kawaUkiona hivyo magoli mengi leo