FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

Kumbe mlimalizana nao mapema
20221119_202707.jpg
 
Kocha akiweza kutengeneza AKPAN na akijiamini....namuona kiungo wa kisasa
 
Bocco hat trick!!

Kuanzia kesho Bocco anarudi kwenye headlines, wacha awafundishe kazi kina Kyombo na Kibu..
 
Mkuu mbona comment yangu tu ilionyesha niko upande gani! Ni raha ya lugha unasema Y kumbe unamaanisha Z.
Nilikuwa nawakumbusha juzi mlivyosema.
la nne huko, bado hujazirai?
 
Hee, Hat trick...hee nani..Boko.!

Basi kumbe Sio Lazima KBS Kuwa professional..
 
Back
Top Bottom