anajua huyo 😀😀😀Ana balaa huyoooooo!...
Hahaha hata Mayele aliwahi hadi kufunguliwa uziDejan katupia tena goli zuri sana. Ni muda wa kugain confidence akiwa uwanjani tu tutaanza kumkubali wenyewe.
Hatimaye Mzungu Afunga goli Kali sana uku golini kukiwa hakuna Kipa [emoji2][emoji2][emoji2]
Afadhali maneno yapungue🤣🤣Kaweka leo[emoji23][emoji23]
siyo kipa tu, timu nzima ilikimbia uwanja.Hatimaye Mzungu Afunga goli Kali sana uku golini kukiwa hakuna Kipa [emoji2][emoji2][emoji2]
Alikuwa wapi??Hatimaye Mzungu Afunga goli Kali sana uku golini kukiwa hakuna Kipa [emoji2][emoji2][emoji2]
Kuna misasa inapigwa kimya kimyaKanoute ni injini isiyokuwa na makeke Unaweza kuifananisha Na Paul Scholes enzi zile Za Mzee Ferguson Man U, kimya kimya Lkn Wapinzani Moto Wanaupata.
Inabidi na okwa apate game timee ya kutoshaaKuna misasa inapigwa kimya kimya
Mimi huwa namfananisha na mhuni mmoja kutoka Amerika ya Kusini wa kuitwa Arturo Vidal PadoKanoute ni injini isiyokuwa na makeke Unaweza kuifananisha Na Paul Scholes enzi zile Za Mzee Ferguson Man U, kimya kimya Lkn Wapinzani Moto Wanaupata.
Aziz KiNaomba kuambiwa wachezaji wa kigeni waliosajiliwa Simba nani hajafunga had sahivi??
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Hata yule mtingisha matiti naye leo alifunga eneo la goli ambapo kipa hakuwepo.Hatimaye Mzungu Afunga goli Kali sana uku golini kukiwa hakuna Kipa [emoji2][emoji2][emoji2]
Unpopular opinion: Kanoute hapewi sifa anazostahili
Duh hatariKumbe mkude ndo alikuwa anafanya Kanoute aonekane mbovu!!!!