FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 2-0 Kagera Sugar | Uwanja wa Mkapa | Agosti 20, 2022

Haikua mech ya kuchana makwapa hii, mshindi alijukana kabla game haijaanza.

Tukutane mbeya mwezi ujao, hapo daslam mtawatapanya sana hao madogo.
 
Katika soka ushangiliaji wa namna hii unashangiliwa na wachezaji wawili tu duniani

Mmoja ni Pogba na mwingine ndio huyu wa leo kwa Mkapa[emoji23]
 
SIMBA 1-2 KAGERA

Matokeo yasipokuwa hivyo mniite mbwa nimekaa pale. Leo kati ya kocha, wachezaji, au kiongozi wowote ataondolewa pale msimbazi.
We mbwa badili jina lako hapo juu hili jipya litakufaa sana.
 
Hahaaaa!!!inashangaza kweli chezaji lao la kimataifafa hata mechi hachez
 
Makolo bwana[emoji16] wepesi sana kusahau.
 
aisee mtaa mzima imeshangiliwa kama Tanzania imeingia world cup vile
Sijaangalia mpira jana. Ila kuna wakati niliskia zogo kweli kweli mpk nikajiuliza uko nje kuna nini!!!!!!
 
Mtangazaji wa Azam Wa Leo Anaipoza Mechi Yetu kwa Sauti yake Kama Hataki Kutangaza
Sasa kama hujui huyu ndo mtangazaji bora au ulikuwa hufuatilii AFCON Mkuu ila nahc wew unapenda mbwembe tu za mpenja ....fungua ubongo mkuu mbwembwe nyng sio za msingi sanaa kiongozi
 
Uzi wa uto uliishia page ya 11 .. hawana mashabiki.

Simba Hoyeee

#Nguvu Moja
mkuu uzi wa yanga hauna mengi maana inajulikana anashinda utazungumza nini uzi ufike peji mie

huu wenye matatizo ndo unasonga sana
 
Noma ungase uthi... Sanibonani, Good morning guys.... Muyumwikeeee, nnilamukaaa, mmeamkajeeee.

PIRA BAHASHA, PIRA UWANJA TAIFA, PIRA BUMUNDA.

Mikoani kwenye majaruba, kuna zawadi yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…