Usiingie kwenye hilo jinamiziNaombeni mtu ajitolee anifundishe jinsi ya kubet.
Imefika wakati sasa ushabiki wa mpira uwe asset (uanze kunilipa)
I'm very serious wakuu
Dejan tena. .. wakosoaji wanasubiri achezeshwe na asifunge au kutoa assistHapo vipi?View attachment 2329515
This is thimbaa#GuvuMoya
USITHUBUTU Mkuu.Naombeni mtu ajitolee anifundishe jinsi ya kubet.
Imefika wakati sasa ushabiki wa mpira uwe asset (uanze kunilipa)
I'm very serious wakuu
Hapo vipi?View attachment 2329515
Nakubaliana nawe, game za kwa Mkapa tuwe tunashinda goli nyingi nginyi coz viwanja vya mikoani ni pasua kichwaMtu ale 5 leo. Game za mkoa zikianza ushindi wake huwa ni kiduchu
Mzungu je?Manula anaondoka na clean sheet leo tena!!!..simba anashinda 3-0 sakho,kibu na okrah
Mzungu je?