FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 2-0 Kagera Sugar | Uwanja wa Mkapa | Agosti 20, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 2-0 Kagera Sugar | Uwanja wa Mkapa | Agosti 20, 2022

Hapo vipi?
FB_IMG_16610077918356084.jpg
 
Naombeni mtu ajitolee anifundishe jinsi ya kubet.
Imefika wakati sasa ushabiki wa mpira uwe asset (uanze kunilipa)

I'm very serious wakuu
 
Kila la kheri Kagera Sugar.. Piga kolo kama kile kipigo tuwapiga sisi Mabingwa wa nchi.. Kabla ya Mechi ya Unga Leo ndo ulikuwa mwsho wake wa kukaa kileleni
 
Simba anaondoka na ushindi wa goli 3 kama kawa. Naomba DEJAN aanze ili aizoee ligi mapema
 
Back
Top Bottom