Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani ana pepo yake chama toka amenyoa amekuwa mtamu bwanaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani ana pepo yake chama toka amenyoa amekuwa mtamu bwanaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mletee mzunguuMzunguuuuu aaaamekosaaa
Hii mechi naona Simba yangu inaenda kukalia mua wa Kagera Tena lazima uzame wote.. Hawa Kagera nawajua hawana huruma walitutoboa mbele ya Rais wa chato tena tundu la kwanza kabisa
Hizi dakika 10 za mwisho msako wa maana sana..wakirudi waanze tenaMsako ni mkali sana
Simba ashinde niingize 51,000 ya haraka
Utapoteza kuliko kupataMMkuu nifundishe kubet
Hapo ndo unajikuta umefung ndoa na muhindi sasaUtapoteza kuliko kupata
Mwisho utakuwa teja wa kubet
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani ana pepo yake chama toka amenyoa amekuwa mtamu bwanaaa
Betting ni mbaya kama hauna kazi au njia nyingine ya kipato
Wewe ndo uliyeshika saa ya refa au unaangalia muda wakwenye Tv?Refa kamaliza kipindi cha kwanza kabla dakika za nyongeza hazijatimia vizuri
Una uhakika???Kagera wabadilishe kipa atawacost tena muda si mrefu,kipa kachukua muamala toka jana bwege huyu