OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kakatwa pale ni penatiChama naye sometimes
AmeeenHuyu Chama huyu Mungu amtunze
Naaam auntie hapoi wala haboi[emoji28][emoji28][emoji28]
Chama Baba....
Amejua kuudhibiti Ubora wake...
Leta mzuunguLeta Mzungu............HATUJAMALIZAAAAAA. Anaingia hapa.
Naungana na wewe japo hujamqlizia.Chama naye sometimes
We utoo
Wanamnyima sana mipira sielewi kwanini..Movement ya kwanza ya mzungu iliyonifurahisha
Ni kama hawamuelewi hiviWanamnyima sana mipira sielewi kwanini..
Kocha kaiua timu kwa kumleta mzungu ambae hawezi ku cooperate na wenzakeSimba siwaelewi