FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 2-0 Kagera Sugar | Uwanja wa Mkapa | Agosti 20, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 2-0 Kagera Sugar | Uwanja wa Mkapa | Agosti 20, 2022

Timu haina namba nane kazi ipo msimu huu wachezaji wanachezeshwa out of position daah huyu ticha majanga
 
Simba inatakiwa itumie advantage ya uwanja wa nyumbani kwa kuhakikisha kama inashinda ishinde magoli mengi

Huko mikoani ni kugumu sana na saizi kila timu zimesajili na zinacheza kwa kiwango kizuri
 
Simba inatakiwa itumie advantage ya uwanja wa nyumbani kwa kuhakikisha kama inashinda ishinde magoli mengi

Huko mikoani ni kugumu sana na saizi kila timu zimesajili na zinacheza kwa kiwango kizuri

Leo tuna Wachapaa Hawa Wala Miwa Goli Nyingi sana
 
Vikosi vyote vya Simba SC na Kagera Sugar, ambavyo vinaanza kwenye mchezo.
20220820_181028~2.jpg
Screenshot_20220820-184852~3.jpg
 
Hili la Kanoute kusimama mwenyewe ngoja tuone....

Hawa Kagera inatakiwa tuwapige magoli ya kutosha...
 
Kule mbele tumemuweka banda?

Ngoja tuone
 
00' Naaam mpira umeanza Uwanja wa Mkapa

Simba SC 0-0 Kagera Sugar
 
Back
Top Bottom