kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
DK 91..... Mnyama 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo ndiyo mama Muinjili[emoji3059][emoji3059]Muhandsome wetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama mchungaji bwana sikukutegemea kabisaNdiyo ndiyo mama Muinjili[emoji3059][emoji3059]
Yanga ya Sasa haitusumbui hata kuiangalia maana matokeo yanajulikana Sasa kwanini tuhangaikeUzi wa uto uliishia page ya 11 .. hawana mashabiki.
Simba Hoyeee
#Nguvu Moja
Mimi tena. Muda wote huu roho inaniuma wanavyomsema mdhungu wetu. Imebidi tu niingie Leo🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama mchungaji bwana sikukutegemea kabisa
Apewe backup ya CesarMzungu yuko vizuri
Kuna majamaa wanajua sana kutabiri aiseeehMzungu kaniokoa, buku zao zimeenda na mma [emoji97]
Acha tu. Sijui kwann mpira huu hawakuufanya dk 180.Daah nina huzuni mpira umekwisha
Leta MzunguuuuuuMimi tena. Muda wote huu roho inaniuma wanavyomsema mdhungu wetu. Imebidi tu niingie Leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]