Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,889
Anatakiwa ampe namba Jana kaingia kipind Cha pili combination yake na chama ili peleka mto sio wa kitotoOkwa ana wakati mgumu Simba.
Bado hajaonesha kabisa uwezo wake
Na ameisha anza kukata tamaa.
Mchezaji wa Kigeni anasajiriwa na haanzi.
Ni huzuni kubwa.
Kama ya Akpan
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app