FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 2-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | Juni 23, 2022

Leo kama kawaida sisi wana simba kamili tunatembea na Matola tu, haters mnaotegemea Matola atashindwa kuifanya Simba isicheze pira madiko diko au pira biriani mixer, poleni sana. Matola ni bonge la kocha anatosha kuifanya Simba irudi kwenye makali kitaifa na kimataifa.
#Matola anatosha
#Matola ni Ancelotti wa Africa
#Tunaimani na Matola
#Haters wa Matola mkajinyonge

Scars leo Ancelotti yupo tena benchini kuiongoza Lunyasi, ili kupunguza gap ya point dhidi ya uto
 
Yaani kuna watu wapuuzi mno kwenye Taifa hili, na wanazidi kuwa wengi.

Eti kwani Simba anagombea nini ilhali Kombe lishachukuliwa tayari

Na jana Yanga alicheza aligombea nini ilhali Kombe ameshachukua..!
Sisi Jana Tulikuwa Tunafukuzia Rekodi Ya Kuchukua Ubingwa Bila Kufungwa Na Kutaka Kumsaidia Mchezaji Wetu Mayele Fiston Azidi Kubaki Kileleni Kwenye Ufungaji Bora.
 
Goodby Pascal Wawa - Hasante kwa mchango wako

Soka lako la mipira mirefu ya kwenda mbali ile ni staili ya timu nyingine, sisi tumezoea pira Biriani - Tunakutakia mema huko Singida
 
Ahsante kwa huduma yako iliyotukuka
 

Attachments

  • Screenshot_20220623-180844~2.png
    375.1 KB · Views: 3
Vikosi vyote vipo uwanjani kupasha misuli moto..!

Tayari kuanza kwa mchezo Simba SC dhidi ya Mtibwa Sugar
 
Kikosi cha Mtibwa Sugar kinachoanza dhidi ya Simba SC
 
Hili ni jipya kwako eeh? Hahaha simba walishafanya haya kitaambo
 
Yaani kuna watu wapuuzi mno kwenye Taifa hili, na wanazidi kuwa wengi.

Eti kwani Simba anagombea nini ilhali Kombe lishachukuliwa tayari

Na jana Yanga alicheza aligombea nini ilhali Kombe ameshachukua..!
Yanga wanatafuta unbeaten record, na nyie mnacheza Leo mnatafuta nn?,ili iweje?
 
Hii mechi ina msisimko mkubwa sana. Jana mechi ya Utopolo hadi dk 90 tuiishia kurasa 2 tu.
 
Simba wamemuangalia Wawa kwenye angle ya kiukabaji pekee ila jamaa anajua sana kutengeneza mashambulizi kwa mipira ya mbali. Yaani akitupia mbele ina mkuta mtu sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…