Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Kikosi kipana.. kati ya hawa ni Sakho na Kanoute tu ndiye walianza mechi za Asec Mimosa na Orlando Pirates
Yanga hakuna watu wa Payu PayuHii mechi ina msisimko mkubwa sana. Jana mechi ya Utopolo hadi dk 90 tuiishia kurasa 2 tu.
Goli la kumuaga WawaGoli la kideo, kesho mapema npo benki kuchukua mkopo
Goli zuriiSakho Goooooooooooooaaal gooal
SaanaGoli zurii
Hakika anastahiliGoli la kumuaga Wawa
walifungwa sheikhe😄😄😄😄Hii simba ilikuwaje ikazingua hatua za awali?
Matola kamjulia?Goli la kumuaga Wawa
Upo sahihi mkuuHii si ndiyo ile timu ambayo ukijumlisha magoli ya washambuliaji wake wote 3 kwa msimu mzima, unapata idadi sawa na yale ya mshambuliaji mmoja tu wa Yanga; Fiston Mayele!
Au nimechanganya!!
KolowizardKitendawili...........!
Akishinda anakuwa nafasi ya pili
Akifungwa anauwa nafasi ya pili
Akidroo anakuwa nafasi ya pili
Ni nani huyo?
Weka jibu lako
KolowizardKitendawili...........!
Akishinda anakuwa nafasi ya pili
Akifungwa anauwa nafasi ya pili
Akidroo anakuwa nafasi ya pili
Ni nani huyo?
Weka jibu lako