FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 2-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | Juni 23, 2022

Yaani kuna watu wapuuzi mno kwenye Taifa hili, na wanazidi kuwa wengi.

Eti kwani Simba anagombea nini ilhali Kombe lishachukuliwa tayari

Na jana Yanga alicheza aligombea nini ilhali Kombe ameshachukua..!
Hivi tukishinda Leo ndiyo tutakuwa tumepunguza point ngapi vile
 
Singida Big Stars!! 😁😁 Ila Moo bhana! Yaani anauza uza tu wachezaji. Halafu wakati huo huo anataka ubingwa.
Hata Tuisila aliuzwa. Au miezi sita ya mkopo ilikuwa imeisha? 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…