FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 2-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | Juni 23, 2022

Wakati wengine wakiendelea na mechi za bonanza za kuaga miili ya watu huku wengine tunashangilia ubingwa
 
Hii ndo tafsiri ya Lunyasi.. yaani Biriani kama yoote...!
 
Inawezekana mechi ijayo tutakuwa tunamuaga Chris Kope Mushimba Mugalu
 
Sakho na Kibudenga Wajitahidi leo wawazidi magoli Mayele na Mpole wapewe kiatu cha ufungaji bora
 
Kagereeee loooooo namna gani hapa Kagere

78' Simba SC 2-0 Mtibwa Sugar
 
Dah ila kweli MK14 naye tumuage licha ya kuwa katufanyia mengi ila kwasasa tumuage tu
Kagere, Mugalu na Bocco, kwa sasa ni mizigo tu kwenye timu! Mkiwaacha waendelee kuwepo kwenye timu, basi msitarajie maajabu msimu ujao.

Bora hata ya mzee mwenzangu Erasto Nyoni! Walau anajitutumua.
 
angalia simba sasa manula amepumzika ila nyie mnapambana kumchezesha mayele awe mfungaji bora, ni upumbavu.

mayele alitakiwa sasa awe kwao anakula good time.
Vipi kwanini Sakho na Kibu denis watapumzishwa lini? Msimu uliopita Simba alitangaza ubinga huku Mugalu na Bocco wakigombea ufungaji bora je ilitokea wakapumzishwa wote wawili kisa tu ubingwa umeshatangazwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…