Butwaa
Senior Member
- Aug 13, 2022
- 125
- 148
Kwanin?Tuache kujieleza sana. Dejan hamna kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanin?Tuache kujieleza sana. Dejan hamna kitu
ule uzi ni mrefu sana ku-scroll down inachukua mda kufanya updatesHivi kwann mashabiki wa Simba kwann hampeleki hizi habari kwenye Uzi wa Simba (Simba SC Special Thread!??!!?) Au hamuoni umuhimu wake?!?!!!
Huwa siamini kama mashabiki wa Simba kama wapo duniani kwa ajili ya kupata Furaha kama ilivyo kwa mashabiki Wa Manchester UnitedTatizo hilo 😂😂
Wasitupangie kabisa hawa ByutizUsitupangie mzee
Mkishinda nyie pelekeni kwenye uzi wenu wa byuti
Ni mrefu kuliko wa man u au liver?ule uzi ni mrefu sana ku-scroll down inachukua mda kufanya updates
MnoooUmefurahia eeee.
Mletee mzunguuuJamani na mimi kwa mara ya kwanzq nasema Dejan hafai jamaniii,kweli anasubiri tuu aletewe mpira kweli?
Tumpe pongeziModerator uko fasta kama kengere ya kanisa
Hapati pasi kwenda kwakeTuache kujieleza sana. Dejan hamna kitu
Hahaha jamani hapana ni mzito sanaMletee mzunguuu
pia hamna kilichoharibika as long kinachotakiwa ni uodatesNi mrefu kuliko wa man u au liver?
Kwani lazima?Ni mrefu kuliko wa man u au liver?
Nyie fuateni huo wa kwenu sisi kila mechi tunaanzishaNi mrefu kuliko wa man u au liver?