FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Geita Gold | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Agosti 17, 2022

Jamani na mimi kwa mara ya kwanzq nasema Dejan hafai jamaniii,kweli anasubiri tuu aletewe mpira kweli?
 
Nilichogundua ukitaka kuifunga simba basi inabidi uwa press kwa nguvu ma'am wamerelax mda wote tu😁😁 wanacheza mpira laini sana, geita gold nao wamejichanganya kwa kucheza mpira wa kuruhusu kupishana na simba lakini wangekaza Mara mbili yao simba alikua ashindi hii game Sana Sana droo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…