FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Geita Gold | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Agosti 17, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Geita Gold | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Agosti 17, 2022

Simba ni TIMU SIO MTU.
Tukianza kuangalia Nani anafanya Nini hatuwezi kufika.tuangalie timu ifanye vizuri.hauwezi jua atakuja kutufaa lini.kikubwa apewe ushirikiano lakini tukianza kumsema vibaya atazidi kupotea.
Tuache kujieleza sana. Dejan hamna kitu
 
Kocha bado hajawajua wachezaji wake.ndo maana mechi na utopolo alipanga kikosi dhaifu.
Ila mechi ile ya wale waethiopia na hii na geita kapanga full mziki.
Nadhani utopolo walikuwa na bahati kupangiwa kile kikosi
angepanga kikosi cha Leo tusingefungwa na vinyesi fc
 

Attachments

  • FB_IMG_16602937101570517.jpg
    FB_IMG_16602937101570517.jpg
    54.4 KB · Views: 3
Huyo Dejani naona kama wachezaji wa Simba wanambania kumpa pasi.Make anaomba sana ila hapewi.
Nadhan anachikifanya maki kwa wachezaji ambao walisajiliwa kabla yake ndio hicho wanachomfanyia dejan
 
Nilichogundua ukitaka kuifunga simba basi inabidi uwa press kwa nguvu ma'am wamerelax mda wote tu😁😁 wanacheza mpira laini sana, geita gold nao wamejichanganya kwa kucheza mpira wa kuruhusu kupishana na simba lakini wangekaza Mara mbili yao simba alikua ashindi hii game Sana Sana droo
Hapo tayari kinyesi kinagonga chupi na kurudi ndani
 
Kwani kocha ana mda gani mkuu bado sana naona anatafuta first eleven ila yule striker mzungu tumepigwa.
Mimi huwa nashangaa sana hizi timu zetu za Simba na Yanga, yaani bado hawajifunzi tu kutokana na makosa waliofanya huko nyuma. Simba walitakiwa kuwa wamejifunza zaidi kutokana na uzoefu wa wale wazungu wa Yanga kutoka Brazil enzi za Maximo.
Uliona wapi Mzungu mwenye kiwango bora cha soka, aache kucheza soka huko kwa Wazungu wenzake aje kucheza soka la kulipwa huku Afrika na hasa Bongo? Bora hata ingekuwa huko kwa Waarabu Afrika ya Kaskazini.
 
Back
Top Bottom