mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tuache kujieleza sana. Dejan hamna kitu
Usiongee humu hyo ni siri yetu hahahBaby ulivyo na furaha nafikiri nitafaidi sana😘😘😘🤣🤣🤣
Huyo Dejani naona kama wachezaji wa Simba wanambania kumpa pasi.Make anaomba sana ila hapewi.Sio shida mbona dejan amemleta yeye bado hatuoni maajabu?
Huyu kocha hatomaliza msimu ataondoka
Sahii...halafu nina zawadi yako baby😍Usiongee humu hyo ni siri yetu hahah
That's good.Simba inaongoza ligi
Sio shida mbona dejan amemleta yeye bado hatuoni maajabu?
Huyu kocha hatomaliza msimu ataondoka
Timu inacheza mpira laini saana, wakukutana na timu yenye nguvu hawafanyi kituWasisimue ili iweje mzee hii ni ligi magoli mengi,clean sheets na points 3 ndo muhimu hayo mengine fanyeni nyie
angepanga kikosi cha Leo tusingefungwa na vinyesi fcKocha bado hajawajua wachezaji wake.ndo maana mechi na utopolo alipanga kikosi dhaifu.
Ila mechi ile ya wale waethiopia na hii na geita kapanga full mziki.
Nadhani utopolo walikuwa na bahati kupangiwa kile kikosi
Watakutukana unawaharibia mtiririko wao wa uzi wa ushindi wana simba oooohooo.Sahii...halafu nina zawadi yako baby😍
timu yenye nguvu kama ipi kwenye ligi?Timu inacheza mpira laini saana, wakukutana na timu yenye nguvu hawafanyi kitu
Alisikika ng'ombe mmoja kutoka utopoloniInapendeza sana#GuvuMoya
Mayele ndo naniiii yani timu yenu inamuabudu mayele..Mayele ni kama mpole tuuFuraha yenyewe ya kulazimisha. Kolo mnajisahaulisha kipigo cha mayele.
Nadhan anachikifanya maki kwa wachezaji ambao walisajiliwa kabla yake ndio hicho wanachomfanyia dejanHuyo Dejani naona kama wachezaji wa Simba wanambania kumpa pasi.Make anaomba sana ila hapewi.
Badooo kiduchuuu hawakua na nafasi nzuri any wayKumbe polisi walikuwa wanashuka daraja?
Watu mna siri😂
Wamejisahau wao utopolo nguvu zimewaishia kila mechi kipindi cha kwanza wanapigwa wanaenda kujiboost na mo energy ndo angalau sasa wachangamke kipindi cha pilitimu yenye nguvu kama ipi kwenye ligi?
Hapo tayari kinyesi kinagonga chupi na kurudi ndaniNilichogundua ukitaka kuifunga simba basi inabidi uwa press kwa nguvu ma'am wamerelax mda wote tu😁😁 wanacheza mpira laini sana, geita gold nao wamejichanganya kwa kucheza mpira wa kuruhusu kupishana na simba lakini wangekaza Mara mbili yao simba alikua ashindi hii game Sana Sana droo
uto zao za kichawi mwisho Mbili😀😀Yanga na viwili vyake chalii. Yani msimu huu yanga hafungi zaidi ya mbili. Halafu kufungwa ni lazima hata akirudisha kule nyuma kwao kumetoboka
Mimi huwa nashangaa sana hizi timu zetu za Simba na Yanga, yaani bado hawajifunzi tu kutokana na makosa waliofanya huko nyuma. Simba walitakiwa kuwa wamejifunza zaidi kutokana na uzoefu wa wale wazungu wa Yanga kutoka Brazil enzi za Maximo.Kwani kocha ana mda gani mkuu bado sana naona anatafuta first eleven ila yule striker mzungu tumepigwa.
Ni kama Mayele wao msimu ulopita alikua anafunga moja tuu sasa wamekuja na hii ya mbili mwisho. Hahahahuto zao za kichawi mwisho Mbili😀😀
Wakati ameshapigwa kimojaNyie mtaongoza lini unadhani..?jioni hii hii azam anatoka na clean see