Ahahahahahahaaa unahaha sana kiongozi..!! Nimekuambia ligi ya NBC Tanzania ndo ilikuwa reference Yangu..Michuano Yote, Ligi Kuu na michuano ya CAF. Kwani hawakufungwa kwenye michuano ya CAF?
Linaenda kufa jitukuna mtu anakufa 4 leo.
Uzalendo kwanza kama kipindi kile tuna msapoti George MpoleKwenye game hii dhidi ya Simba? Okay Geita dhidi ya Yanga haipo mbali, tutaona kama hutasaliti nyumbani kwenu
Hamna kubebwa ataweza kubeba mnyama mtoa roho? Labda chura ndo anabebeka hahaaaa.Refa atawabeba leo mikia...hivyo basi mtashinda. Maana saikolojia yenu imevurugwa kabisa.
Usitoke humu utopwizo mpk saa 2 kasoroLinaenda kufa jitu
Wala si kuhaha mkuu, Niliposema vile nilikuwa nakusudia msimu mzima kwa michuano yoteAhahahahahahaaa unahaha sana kiongozi..!! Nimekuambia ligi ya NBC Tanzania ndo ilikuwa reference Yangu..
Kolo usikimbieUsitoke humu utopwizo mpk saa 2 kasoro
Kaa kwa kutulia kinye utopolo yani mimi humu utanikuta wala sikimbii.Kolo usikimbie
Na Sopu.. Sasa sijui Makolo ndo walihamia kwa Sopu na Mpole AU hao wawili ndo walihamia kwa makoloUzalendo kwanza kama kipindi kile tuna msapoti George Mpole