FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Geita Gold | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Agosti 17, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Geita Gold | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Agosti 17, 2022

Nilitaka kuwadharau Geita kumbe bado wana timu nzuri kuna maingizo mengi wameyafanya,Yahya mbegu,Okoyo wote kutoka polisi.full back Wawa kutoka Dodoma Jiji,
 
00' Naaam mpira umeanza Uwanja wa Mkapa

Simba SC 0-0 Geita Gold
 
Hivi Hii Ligi Haina Mpira Official Kwa Ajili Ya Mechi Za Ligi, Hii Mechi Ya Tatu Kwangu Nashuhudia Mipira Tofauti tofauti Inatumika.
 
27' Kazi ya kusaka ushindi inaendelea Uwanja wa Mkapa

Simba SC 0-0 Geita Gold
 
Back
Top Bottom