FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Geita Gold | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Agosti 17, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Geita Gold | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Agosti 17, 2022

Phiri Goooooooooooooaaal gooal

Moses Phiri anahesabu bao la pili akipokea pasi murua kutoka kwa Chama.

Simba SC 2-0 Geita Gold
 
wale waandishi uchwara wa utopolo waliotumwa kuja kuandika upuuzi watutoe Simba kwenye reli wapo wapi?
eti ohoo Mimi shabiki wa Simba nahama timu.
Wewe sio shabiki
 
Mzungu anakuja... atakuwa anapendwa sana na ndugu yake Maki
 
Back
Top Bottom