Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Miaka Gani?!! Labda Kama Ulianza Kufuatilia Mpira Wa Bongo 2018 [emoji23], Na Hatukuweza Kwa Nguvu Zetu Tulitumia Nguvu Zenu [emoji23]Miaka ile miaka gani?
Hivi mliweza kwa nguvu zenu au kuna visaidizi mlikuwa mkivitumia kupoza makali?
Aisee kukosa ubingwa ndio kunatesa hivi?
Nyie ndugu zetu mliwezaje kuvumilia miaka minne yote kwa maumivu haya?
Nimekuuliza, basi angalau stick kwenye swali kuhusu mipasho najua hiyo ni desturi yenuMiaka Gani?!! Labda Kama Ulianza Kufuatilia Mpira Wa Bongo 2018 [emoji23], Na Hatukuweza Kwa Nguvu Zetu Tulitumia Nguvu Zenu [emoji23]
Mara 27 mwaka gani na mwaka gani?Nyie mliwezaje kuvumilia haya kipindi YANGA SC Anatwaa taji mara 27 zote?
Nimekuuliza, basi angalau stick kwenye swali kuhusu mipasho najua hiyo ni desturi yenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kulikuwa na ulazima gani mechi hii kuchezwa usiku? Wanamaliza umeme wa bure....
Hawa wanatakiwa wacheze saa 2 asubuhi.
Nisomee wameandika mabingwa mara ngapi hapo?
kama Yanga walivyovyaa visit ZanzibarKulikuwa na ulazima gani mechi hii kuchezwa usiku? Wanamaliza umeme wa bure....
Hawa wanatakiwa wacheze saa 2 asubuhi.
Ya kwenda wapiNguvu moja