FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Hoja nzito sana.. Ngoja Tusubiri Kuona
 
Kocha alitakiwa aje na wasaidizi wake ili asihujumiwe.
Mgunda hakuichukulia sawa kuletewa kocha Mkuu, ukifatilia interview yake utagundua hilo
 
viongozi ndio tatzo, sema hapa tutalaumiana sisi, makocha, wachezaji lakini mzizi wa matatzo ni viongozi huko juu....lakini leo tutashinda hii match, tusubri
Viongozi wamefanyaje?
 
Ajabu sana, Mesi mwenyewe anatolewa! Siku hizi mpira wa kisasa ni mifumo sio mtu! Mfano tunao hapa hapa kwa Nabi!

Utashangaa ikitokea tumepoteza wimbo utakuwa chama!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Huyu kocha ndicho anachofanya, ile Vipers yake licha ya kumuuza Manzoki bado iliendelea kuwa moto wa kuotea mbali, utopolo ni mashahidi wa hili...
 
Kocha alitakiwa aje na wasaidizi wake ili asihujumiwe.
Mgunda hakuichukulia sawa kuletewa kocha Mkuu, ukifatilia interview yake utagundua hilo
Kwahyo inawezekana mgunda kamwambia awatoe Chama na Bocco ili tupigwe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…