Na sisi tutapata la 3 muda sio mrefuHaya nimesema mbeya city watapata bao la pili
Mbeya city wakishinda nitakupa zawadi.Seat ya kwanza dirishani...
All the best Green City
Mbeya City huwa hamtuangushi 💪💪💪💪
Piga hayo Madunduka FC
Mara ya pili hii. Na Prison ilikuwa uzembe wa kutoka hivi hivi.Very big mistake kutoka kwa Manula
Waambie wakacheze wao..Mnauwezo wa kumvumilia kocha mpaka mechi ya Yanga? Mechi mmeshinda ila bado wenzenu hapa nilipo wanalalamika "sio mpira wetu....".
Ongeza ubani[emoji3064][emoji35]