FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Mnawalaumu makipa wale wanaopigwa na Aziz K wamekula hela naona Manula naye katako na mzigo wake akalipe ada za wanae.

Mgunda analalama "........Saido Chezeni mpira......wapo pungufu........".
 
Hata sielewi kinachoendela. Manula anafungwa goli la pili la kipuuzi msimu huu daaaah,😭
 
Back
Top Bottom