FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Manula watu hawajawahiga mshutukia Ila anabet na kuuza mechi.
 
Mnawalaumu making wale wanaopigwa na Aziz K wamekula hela naona Manula naye katakana mzigo wake akalipe ada za wanae.

Mgunda analalama "........Saido Chezeni mpira......wapo pungufu........".
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Almanusura CITY waweke chuma cha Tatu, Kichwa linapaa nje ya lango la Simba
 
Waambie wakacheze wao..
Umemsikia Mgunda anavyo lalama ".......Saido Chezeni mpira wapo pungufu.......",vp nae Mgunda akacheze yeye.

Tokea nyekundu itole sijaona on wala off target kutoka kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…