Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Huyu rasta mvuta bangi hata kutuliza mpira hawezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa. Atoke Outara aingie KennedyHii mechi tunaweza tuka sare
Inawezekana uchovu pia, tuombe tuongeze lingine.Manula sifa zimeanza kumlevya
Bahasha kapewa...Manula daaah
[emoji23][emoji23][emoji23]Mnawalaumu making wale wanaopigwa na Aziz K wamekula hela naona Manula naye katakana mzigo wake akalipe ada za wanae.
Mgunda analalama "........Saido Chezeni mpira......wapo pungufu........".
Umemsikia Mgunda anavyo lalama ".......Saido Chezeni mpira wapo pungufu.......",vp nae Mgunda akacheze yeye.Waambie wakacheze wao..
DèjameMbeya city wakishinda nitakupa zawadi.
PoleManula daaah
Champions League..Hivi Simba Tunaenda Kucheza CAF gani?
Sasa kama Kyombo hachezi si almost wapo sawa tuSimba wanacheza kama wapo pungufu vile.
Manula kapokea bahasha kama Ahamada?Very big mistake kutoka kwa Manula