FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

85' Kyombo anakosa nafasi nzuri ya kufunga ilikuwa Shambulizi kali kuelekea City, namna gani Kyombo hapa
 
Umemsikia Mgunda anavyo lalama ".......Saido Chezeni mpira wapo pungufu.......",vp nae Mgunda akacheze yeye.

Tokea nyekundu itole sijaona on wala off target kutoka kwenu.
Ndio kazi ya kocha hiyo, kuwapa ari wachezaji wake..
 
Huyu Kyombo amebahatisha kule Dubai Kocha anataka kumuona wa maana. Unakosaje pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…