MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Hakuna mtu wa kuingia. Inabidi vijana wapambane tuSasa kama Kyombo hachezi si almost wapo sawa tu
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mtu wa kuingia. Inabidi vijana wapambane tuSasa kama Kyombo hachezi si almost wapo sawa tu
Ndio kazi ya kocha hiyo, kuwapa ari wachezaji wake..Umemsikia Mgunda anavyo lalama ".......Saido Chezeni mpira wapo pungufu.......",vp nae Mgunda akacheze yeye.
Tokea nyekundu itole sijaona on wala off target kutoka kwenu.
Sijui wale Moscow aliwafungajeKyombo kakosa bao la wazi hapa
Endelea kupumulia hapo nyuma mpaka mwisho wa msimu.
Inategemea anavyoamka..Sijui wale Moscow aliwafungaje
Ndo inakuwa hivyohii ngoma inaweza enda 3-3
Mazoezini ni tofauti na kwenye mechiKibu halisi hope Kocha amemuona
Cuf ya lipumbaHivi Simba Tunaenda Kucheza CAF gani?