Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Baada ya game wachezaji waachwe wakapumzike siku kadhaa.Simba utafikiri ndio ipo pungufu
Ndio chaguo la kochaHuyu Rasta mvuta bangi hajui kucheza mpira kabisa
Sijawahi kuona mchezaji wa hovyo kuwahi kuchezea Simba
Basi tumepigwaNdio chaguo la kocha
Hii ni impact ya Chama na Kyombo. Kyombo alipaswa kutoka mapema kabisa. Kocha asijidanganye kibu na Kyombo hawafundishiki cause shida zao zipo kichwani.Simba utafikiri ndio ipo pungufu
[emoji1787][emoji1787]Huyu Rasta mvuta bangi hajui kucheza mpira kabisa
Sijawahi kuona mchezaji wa hovyo kuwahi kuchezea Simba
Kona sio kipaumbeleMneya city wamepiga kona 4 Simba hata moja hatuna
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyu kocha anakatwa na vibwengo
Mnadhani wale wachezaji wa Simba ni robots, hawachoki?!Narudia tena sielewi kinachochezwa hapa daah.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kibu ni nyokoooo