Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira magoli tatizo hamridhiki...!!Mpira wa hovyo sana leo
Nikiucheki ule Uzi wako wa kuwalinganisha kibu na mayele .nabaki 😂😂Mimi ningekuwa kocha mtu kama Kibu namwambia wewe sio mchezaji tafuta kazi nyingine kwenye timu yangu huchezi
Mpira umeisha lakini walioshinda ni Mbeya City ila wafungaji wengi wametokea timu ya Simba
Inatokea, tutafanya vizuri tuKikubwa tumeshinda kwa binde..mpira tuliouzoea hakuna kabisa
Si alopewa zawadu dubaiHuyu Kibu kuna kitu hakipo sawa
Imechoka wapi kocha kaja na mfumo wake kazi ipo kwenye kwenda Sambamba na mfumo wake.Timu imechoka kila mtu yupo nje ya mchezo hadi kipa.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app