FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Twende mbele na kurudii rivasi magoli ya antibayotike na Sakho daaaaaah ni magoli ya kimataifa...
Tufanye mbeya city 3 sisi 2 kwa magoli ya kishujaa
 
Ukiacha makosa ya kocha kwenye line up haya magoli yote ya mbeya city ni ya Manula niwakati sahihi sasa wakumtafutia kipa atakaeweza kumchallange.
 
Yani tumecheza kiwango kibovu hata Yanga haijawahi cheza hivi
 
Kwani kocha alipomtoa Chama aliona kachoka au???
Tunammis Inonga
 
Sure mimi sina furaha kw sbb kocha katufanya tuhame chanel mara turudi alituvuruga mnoo
 
Back
Top Bottom