Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
No quiero¿No quieres un regalo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No quiero¿No quieres un regalo?
Magoli ya viwango vya kimataifa ya sackho na mtu wenu wa zamani Ntibazonkiza ni fwayaaaaaRefa bahasha uliyopata toka kwa makolo kalipie ada ya watoto wako
Malizia kwa timu iliyo pungufu tena uwanja wa MkapaSisi ni wakuomba mpira uishe kweli?
Punguza makasiliko kaka huyu kocha kama anatupanga na kibu wakePunguza kucheka cheka au wewe demu?
Refa gani ambaye anaweza kuinjoy kuchezesha mpira ambao Chama hayupo?Sub ya kumtoa Chama hata Refa ilimshangaza
Ushauri wangu muachie muhusikaPunguza makasiliko kaka huyu kocha kama anatupanga na kibu wake
Hiyo lugha iliyo iongea hapo mashabiki wenzako hawato kuelewa. Bongo mashabiki uvumilivu hamna na hasa zaidi nyie mechi mbili za nyuma mlicheza vizuri sana,ujue dk 20 za mwisho Mbeya City wamedominate pamoja wapo pungufu.
Kibu ajaribu Golf maswala ya mpira hata kuwa mshabiki tu haumfaiRefa gani ambaye anaweza kuinjoy kuchezesha mpira ambao Chama hayupo?
Huyu kocha atatugharimu na mfumo wake mpya na upangaji wake wa timu.Kocha aungalie tena huu mchezo akiwa ametulia. Kuna makosa ya kiukocha yamefanywa ya waziwazi. Kibu na Kyombo si wachezaji kabisa. Ni wahuni flani wa manzese tu.
Kyombo naye kakosa goli la wazi katika mazingira yale yale aliyokosa kwenye mechi ya DerbyKibu ajaribu Golf maswala ya mpira hata kuwa mshabiki tu haumfai
Timu gani imeshinda?Yaani timu imeshinda lakini aibu wanaona Mashabiki wa Makolo
Hawa Mbeya City walikuwa wanatusumbua siku za nyuma, leo tumewafunga watu hamkosi sababu...Performance siyo ya kuridhisha kabisa
Hayo magoli yamewapeleka makolo mpaka nafasi ya kwanza katika ligiMagoli ya viwango vya kimataifa ya sackho na mtu wenu wa zamani Ntibazonkiza ni fwayaaaaa
Kabisa yaani. Hakuna scientific fact yoyote itakayoweza kueleza Kibu na Kyombo ni wachezaji wa kucheza kikosi cha kwanza Simba.Huyu kocha atatugharimu na mfumo wake mpya na upangaji wake wa timu.
Tatizo mlizoea draw za Mgunda...Sisi ni wakuomba mpira uishe kweli?
To lo daré aunque no lo quieras.No quiero