FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Wageni Mbeya City wamewahi. Kikosi cha Mbeya City kinachoanza dhidi ya Simba SC
 
Hiyo siyo timu, mashetani wekundu tu sijui waganga wa mashetani.
Timu ina minguo rangi nyekundu!!!
Timu ni moja tu Afrika Mashariki na kati, nayo ni Young Africans.
Timu ya chama cha kijani...timu ya maua ua na nyuki timu alizeti..ila mnang'aaaga mtani hata ukiwa umejificha kwny kundi ataonekana tuu njanonjano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…