FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Kila la kheri mnyama,

Tunasubiri kuona mchanganyiko wa Pira Samba + Pira Biriani + Pira Dubai na mbinu za UEFA mlizozipata toka kwa CSKA Moscow.

Naziona goli saba leo.
 
mbona uzi WA Simba hua unaanzishwa Tu na unajaa kabla ya mechi??? lkn Uto tukicheza uzi unaanzishwa baada ya goli au mechi kuanza?? Tunakosea wapi uto?!
 
Timu zote mbili zipo uwanjani wakati wowote mpira utaanza Uwanja wa Benjamin Mkapa.

00' Naaam mpira umeanza | Simba SC 0-0 Mbeya City
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…