Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ko bila henock hakuna jambo sio,Yes..Phiri na Banda wamepona na wameanza mazoezi, isipokuwa Henock bado hajapona.
Kuna tofauti kubwa kati ya SIMBA na hao wengineKuna watu wakianzisha Uzi wao wa live hawachangii hadi wapate goli au mpira uishe..Simba nguvu Moja
Tangulia basi najaMkuu uungwana ni kuitana pembeni na kuongea. Sisi ni watu wazima.
This is not a joke mkuu
Hii timu siku sio nyingi kocha mzungu atachanganyikiwa, hatajua amuanzishe nani, ngoja hizi mashine zote zikae sawa..Yes..Phiri na Banda wamepona na wameanza mazoezi, isipokuwa Henock bado hajapona.
Leo ngoja tulione Pira Dubai
Mnyama wa mwituni
Presha kwa mpinzani tumeanza toka zama hizo Gongowazi kupigwa 6-0 mpaka kufikia kupigwa 5-0..Kwani wewe ni mgeni na haya mambo mkuu?View attachment 2486407
The beast[emoji7]Mnyama wa mwituni View attachment 2486453
Timu zote mbili zipo uwanjani wakati wowote mpira utaanza Uwanja wa Benjamin Mkapa.
00' Naaam mpira umeanza | Simba SC 0-0 Mbeya City