FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Refa anaweka offside bila kujua kunamtu amelala pale [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Marefa wa Bongo [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mechi kama ikiisha hivi hivi lawama atapewa Kiyombo na Quatarra.

Simba mpo tayari kumpa muda kocha wenu?Naona kocha ana introduce watu wake.
 
Back
Top Bottom